February 18, 2025

Day

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Deo Mwanyika (MB), imetembelea Studio ya Ushonaji Nguo na Bidhaa za Ngozi katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Katika ziara hiyo, kamati imejionea jinsi studio hiyo inavyotengeneza bidhaa mbalimbali na kusaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo. Aidha, wametembelea sehemu...
Read More