anafunzi wanaosoma shahada ya Uzalishaji na Usimamizi wa mazao (CPM) mwaka wa pili pamoja na wanafunzi wa shahada za uzamili Kutoka Idara ya Mimea vipando na Mazao ya Bustani wamepatiwa mafunzo juu ya Teknolojia za unyunyuziaji wa viuatilifu. Habari zaidi BOFYA HAPARead More