Tangazo la mafunzo ya muda mfupi ya ufugaji wa samaki

Picture5

Picture5Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) na Idara ya Sayansi za wanyama, ufugaji wa viumbe majini na nyanda zamalisho kimeandaa mafunzo ya ufugaji wa samaki yatakayofanyika mwezi wa tano, 2019. 

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

Related Posts