April 25, 2020

Day

9aac5462 bb9f 4b16 869c ef78f488898e
         Wizara ya Kilimo imekubaliana na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine kuanza kuzalisha mbegu bora za mazao ya kilimo ili kujitosheleza na mahitaji ya wakulima nchini. Makubaliano hayo yalibainishwa jana (24.04.2020) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alipokutana kwa mazungumzo na Menejimenti ya Chuo hicho mjini Morogoro na kueleza kuwa nchi bado haijajitosheleza...
Read More