Wanafunzi wanaosoma shahada ya Uzalishaji na Usimamizi wa mazao (CPM) mwaka wa pili pamoja na wanafunzi wa shahada za uzamili Kutoka Idara ya Mimea vipando na Mazao ya Bustani wamepatiwa mafunzo juu ya Teknolojia za unyunyuziaji wa viuatilifu. Mafunzo hayo yametolewa kwa kushirikiana na mamlaka ya Afya ya mimea na viuatilifu (TPHPA) ambapo wanafunzi...Read More