February 23, 2025

Day

Ikiwa ni muendelezo wa kutengeneza wahitimu wenye weledi, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeshirikiana na Mamlaka ya Afya ya mimea na Viuatilifu (TPHPA) kutoa mafunzo kwa wanafunzi wake. Wanafunzi hao ambao ni shahada ya kwanza na wengine shahada za uzamivu wamepewa mafunzo kwa vitendo kuhusiana na aina tofauti za teknolojia za vinyunyizi zinazotumika...
Read More