kongamano

Tag

Tarehe 6, Disemba idara ya sayansi ya mimea,vipando na mazao ya bustani ilishiriki kongamano la miaka 63 ya Uhuru liliondaliwa na menejimenti ya Chuo  likijadili Kilimo tulipotoka ,tulipo na mustakabali wa Tanzania Bora. Kupitia mwakilishi wake Dr.Yasinta Nzogela Mhadhiri na mbobezi wa kilimo ambaye  alitoa mchango wake na kuelezea maendelo ya teknolojia na uzalishaji wa...
Read More