Mnamo Tarehe 27/06/2023, wanafunzi wa Maendeleo ya Jamii (Community Development Association, CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) walifanya ziara ya kusisimua na yenye mafanikio kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililopo Dodoma. Ziara hiyo ililenga kuwapa wanafunzi fursa ya kujifunza na kushuhudia shughuli za kibunge. Wanafunzi hao walikuwa na nia...Read More
Mnamo Tarehe 26/06/2023, wanafunzi wa Maendeleo ya Jamii (Community Development Association, CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) walihudhuria kongamano la kudhibiti utumiaji wa madawa ya kulevya lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Jordan, Morogoro. Kongamano hilo lilikuwa na lengo la kujadili na kuongeza ufahamu juu ya tatizo la matumizi ya madawa ya kulevya...Read More
Siku ya Tarehe 16/06/2023, wanafunzi wa Maendeleo ya Jamii (Community Development Association, CDA) walifanya kipindi maalum cha redio katika kituo cha redio cha SUA FM, kuzungumzia haki za watoto na ukatili, kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika. Kipindi hiki cha redio, kilichorushwa na SUA FM, kilikuwa ni sehemu ya jitihada za...Read More
Asasi ya Maendeleo ya Jamii SUA (Community Development Association, CDA) imepokea cheti cha shukrani kutoka Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Mbuyuni, kilichotolewa kwa niaba ya Kamati ya Maendeleo ya Kata. Cheti hicho kimekuwa kielelezo cha shukrani kwa mchango wa CDA katika ziara ya kutembelea Kituo cha Kulelea Wazee cha Fungafunga siku ya Familia mnamo...Read More