June 8, 2024

Day

Viongozi wa taasisi ya Maendeleo ya Jamii inayoendeshwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mkoani Morogoro wametembelea ofisi za Morogoro Paralegal ambapo pamoja na mambo mengine wamethibitisha kushiriki kwenye uzinduzi wa Jukwaa la Wadau wa Morogoro Paralegal tarehe 28.06.2024 utakaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Savoy. Mbali na ushiriki wao kwenye jukwaa...
Read More