June 10, 2024

Day

Leo tarehe 07/06/2024, Asasi ya Maendeleo ya Jamii (Community Development Association – CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) imeshiriki katika kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, ambayo kwa mwaka huu yatafanyika kimkoa katika Manispaa ya Morogoro. CDA ilipokea mwaliko maalum kama moja ya wadau wa maendeleo ya...
Read More
Siku ya tarehe 07/06/2024 Asasi ya Maendeleo ya Jamii (Community Development Association – CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ilifanya tukio la utunzaji wa mazingira katika zahanati ya Uwanja wa Taifa, Morogoro. Shughuli hiyo ilijumuisha ufanyaji usafi, upandaji miti, na ugawaji wa vifaa vya usafi. Afisa Mtendaji wa Kata ya uwanja wa...
Read More