Blog

MSc Public Defense

Mr. Yasin John Yasin, a Masters candidate from the Department of Agricultural Extension and Community Development has successfully defended his MSc dissertation. The title of the dissertation is: ” Contribution of Extension Services to Urban Agriculture. A Case of Vegetable Production in Morogoro Municipality Tanzania.”  The Supervisors of the thesis are: Dr. S.C. Haule and Prof. […]

Share this

The Department makes a record in the promotion of staff to senior rank

On 26th September 2024 the University Council at its 177th meeting, promoted one members of academic staff in the department from the rank of Senior Lecturer to Associate Professor. The member is Prof. Rasel M. Madaha. Furthermore, the Appointment and Human Resource Management Committee at its 24th meeting held on Friday September 13th, 2024 promoted […]

Share this

Kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika

Leo tarehe 07/06/2024, Asasi ya Maendeleo ya Jamii (Community Development Association – CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) imeshiriki katika kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, ambayo kwa mwaka huu yatafanyika kimkoa katika Manispaa ya Morogoro. CDA ilipokea mwaliko maalum kama moja ya wadau wa maendeleo ya […]

Utunzaji wa mazingira katika zahanati ya Uwanja wa Taifa, Morogoro

Siku ya tarehe 07/06/2024 Asasi ya Maendeleo ya Jamii (Community Development Association – CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ilifanya tukio la utunzaji wa mazingira katika zahanati ya Uwanja wa Taifa, Morogoro. Shughuli hiyo ilijumuisha ufanyaji usafi, upandaji miti, na ugawaji wa vifaa vya usafi. Afisa Mtendaji wa Kata ya uwanja wa […]

Share this

Viongozi wa taasisi ya Maendeleo ya Jamii iwametembelea ofisi za Morogoro Paralegal

Viongozi wa taasisi ya Maendeleo ya Jamii inayoendeshwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mkoani Morogoro wametembelea ofisi za Morogoro Paralegal ambapo pamoja na mambo mengine wamethibitisha kushiriki kwenye uzinduzi wa Jukwaa la Wadau wa Morogoro Paralegal tarehe 28.06.2024 utakaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Savoy. Mbali na ushiriki wao kwenye jukwaa […]

DAECD wins the SUA Intramural University Competition 2024 cup

The football team of students from the Department of Agricultural Extension and Community Development (DAECD) of the Sokoine University of Agriculture (SUA) has written a new history by winning the SUA Intramural University Competition 2024 cup. The team, which includes students studying Bachelor of Community Development and Bachelor of Agricultural Extension, has shown great competence […]

Share this

Welcoming Ceremony for First Year Students

In a show of unity and solidarity, students of the Bachelor of Community Development degree and those of the Bachelor of Agricultural Extension degree from the Sokoine University of Agriculture (SUA) held a ceremony to welcome freshers in the Department of Agricultural Extension and Community Development. The ceremony was organized by the Community Development Association […]

Share this

Elimu kuhusu haki ya wanawake Tanzania

Mnamo tarehe 07/03/2024 wana CDA walitumia jukwaa la redio kutoa elimu kuhusu haki za mwanamke kupitia kipindi Cha redio Cha ZOE FM. Kwa ustadi na weledi, waliweza kufafanua kwa kina masuala muhimu yanayohusu haki za wanawake na kuchangia katika kujenga jamii yenye usawa na haki. Kipindi hicho kilileta faida kubwa kwa jamii. Kwanza, kilichochea uelewa […]

Share this

Uzalendo Nguzo ya Maendeleo ya Jamii (UNMJ)

Uzalendo Nguzo ya Maendeleo ya Jamii (UNMJ) is a joint project of AGEN and Community Development Association (CDA). The project is aimed at cultivating the spirit of volunteerism, and patriotism among graduates and ongoing students pursuing the degree of Bachelor of Community Development. CDA was launched at the Department of Agricultural Extension and Community Development of […]

Share this

Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilayani Morogoro

Baadhi ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha kilimo SUA kupitia asasi ya maendeleo ya jamii CDA, walishiriki katika tukio la kuupokea mwenge wilayani Morogoro mnamo tarehe 26/04/2024. Hapo chini ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Share this