Uzinduzi wa siku ya Mwanamme wa Kitanzania Mnamo tarehe 23 Aprili 2024

Uzinduzi wa siku ya mwanaume wa Kitanzania uliofanyika mkoani Morogoro kwa mara ya kwanza toka nchi ya Tanzania ilipoundwa. Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 23/4/2024, ambapo kila mwaka tutakua tukiadhimisha siku ya mwanaume tarehe na mwezi huo.
Lengo kuu la maadhimisho haya, nikutambua mchango na jitihada za mwanaume wa Kitanzania katika kuleta maendeleo ya jamii yake pamoja na nchi yake kwa ujumla wake…….
Hapa chini ni baadhi ya picha za tukio hilo.
May be an image of 8 people and text that says 'MAADHIMISHO YA SIKU A MWANAUME WA や KITANZANIA AGEN 23 23rdApril, 23rdApril,2024 2024 "Mwanaume wa Kitanzania, Jzalendo na Uwajibikaji"'
May be an image of 9 people
May be an image of 7 people and text
Share this

Related Posts