Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nanenane Kanda ya Mashariki ambapo pamoja na mambo mengine Mhe. Pinda ameweza kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli zinazofanywa na Chuo hicho. Akiwa kwenye Banda la Idara ya shamba la...Read More
Wakulima na wafugaji wa samaki wametakiwa kufika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ili kujipatia mbegu bora za vifaranga vya samaki kwa kuwa mbegu zinazotumika katika uzalishaji wa vifaranga hivyo ni za uhakika. Wito huo umetolewa Agosti 4, 2023 na Afisa Mafunzo wa Kitengo hicho Bi. Stella Genge wakati akizungumza katika Maonesho ya Wakulima,...Read More
Chuo Kikuu cha Sokoine chaKilimo (SUA) kupitia Kitengo cha Ukuzaji wa Viumbe Maji kilichopo Idara ya Shamba la Mafunzo kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Nanenane kimekuja na Maabara inayotembea maalum kwa ajili ya utotoreshaji wa vifaranga vya samaki aina ya sato. Maabara inayotembea maalum kwa ajili ya utotoreshaji wa vifaranga vya samaki aina...Read More
Students from St Mary’s pre and primary school visited model training farm exhibition pavilion at Morogoro nanenane grounds, among other things, they learnt a lot of stuffs pertaining Agriculture, for example broccoli, cabbage and cauliflower production Also they saw different grafted and un grafted fruit seedlingsRead More