May 27, 2024

Day

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kinashiriki Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kupitia Ndaki ya Kilimo (College of Agriculture). Ndaki hii inawakilishwa na Idara ya Shamba la Mfano la Mafunzo (Model Training Farm), ambayo ni mojawapo ya Idara sita zilizopo kwenye Ndaki ya Kilimo. Maadhimisho haya yanafanyika katika viwanja...
Read More