The Department of Model Training Farm under the College of Agriculture at Sokoine university of Agriculture (SUA) is proud to announce the upcoming availability of a substantial quantity of “Hass avocado seedlings”, cultivated with precision and care. Scheduled for market release from September to November, these seedlings represent a significant investment in an emerging industry....Read More
The Department of Model Training Farm under the College of Agriculture, Sokoine University of Agriculture, on thursday 26, received first year students 2023/2024, who were in the oriantation week, Students got the chance to visit all the units found under the Model farm Department which are Magadu animal Unit, Aquaculture unit, Main gate and Horticulture...Read More
Wanafunzi wa mwaka wa pili katika kozi za uhandisi wa kilimo na uhandisi wa umwagiliaji, wakiwa katika masomo kwa vitendo( Field Practicals), wameshiriki katika ujenzi wa canal ya umwagiliaji katika kitengo cha bustani kilicho chini ya idara ya shamba la mafunzo. Ujenzi huo ulianza kwa kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni pamoja kufanya survey, pamoja na...Read More
Kuanzia Leo tarehe 30/08/2023 na kuendelea idara ya shamba la mafunzo inauza ndizi za aina mbalimbali kama vile mzuzu, malindi, malembo, mshale na nyingine nyingi. Tunawakaribisha jumuiya yote kufika katika duka la idara ya shamba la mafunzo kwa ajiri ya kujipatia ndizi nzuri kabisa Ndugu mteja unaehitaji kwa wingi pia unakaribishwa kuweka oda yako...Read More
Model Training farm (horticulture unit) under the College of Agriculture at Sokoine University of Agriculture(SUA). On 29 July 2023 we were graced to receive visitors from Sega secondary school where we received both students and staff members. The main objectives of their tour at Horticulture unit was to see various botanical plants found at Horticulture...Read More
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nanenane Kanda ya Mashariki ambapo pamoja na mambo mengine Mhe. Pinda ameweza kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli zinazofanywa na Chuo hicho. Akiwa kwenye Banda la Idara ya shamba la...Read More
Wakulima na wafugaji wa samaki wametakiwa kufika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ili kujipatia mbegu bora za vifaranga vya samaki kwa kuwa mbegu zinazotumika katika uzalishaji wa vifaranga hivyo ni za uhakika. Wito huo umetolewa Agosti 4, 2023 na Afisa Mafunzo wa Kitengo hicho Bi. Stella Genge wakati akizungumza katika Maonesho ya Wakulima,...Read More
Chuo Kikuu cha Sokoine chaKilimo (SUA) kupitia Kitengo cha Ukuzaji wa Viumbe Maji kilichopo Idara ya Shamba la Mafunzo kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Nanenane kimekuja na Maabara inayotembea maalum kwa ajili ya utotoreshaji wa vifaranga vya samaki aina ya sato. Maabara inayotembea maalum kwa ajili ya utotoreshaji wa vifaranga vya samaki aina...Read More
Students from St Mary’s pre and primary school visited model training farm exhibition pavilion at Morogoro nanenane grounds, among other things, they learnt a lot of stuffs pertaining Agriculture, for example broccoli, cabbage and cauliflower production Also they saw different grafted and un grafted fruit seedlingsRead More
Wananchi wametakiwa kununua miche ya matunda mbalimbali kutoka kwenye vyanzo vya uhakika kikiwemo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ambacho kina vyanzo vizuri vya kupata malighafi za kuzalisha miche kutoka kwenye mashamba yanayotumika kwa ajili ya kupata vikonyo vya kuzalisha miche ya aina tofauti. Meneja wa Shamba la Bustani katika Idara ya Shamba...Read More