Uncategorized

Category

Today we were graced to have visitors, students and staff from St. Wilbalda Secondary School- Korogwe here at Sokoine University of Agriculture at the Model training Farm, where they learnt many things from different Units. First off the visitors started at the aquaculture unit were they learnt everything about aquatic organisms and ecosystems which was very...
Read More
Dume bora wa mbegu wa kisasa aina ya Fresian ambaye ni kwa ajili ya kuzalisha ng’ombe bora wa maziwa anapatikana nanenane kwenye banda la Sokoine University of Agriculture kwenye kitengo cha wanyama cha idara ya Model Training Farm. Dume huyu amekua kivutio kikubwa kwa wageni wengi wanaotembelea mabanda ya SUA Dume huyu anavutia watu wengi kutokana na...
Read More
Duka la shamba la mafunzo SUA Linatoa huduma za uuzaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mboga mboga matunda na Miche ya matunda mbalimbali Kwa Sasa tupo kwenye maonyesho ya nanenane unakalibishwa kupata bidhaa Kwa bei nafuu kabisa kama kabeji, cauliflower, broccoli Kwa elfu moja tu pesa za kitanzania lakini pia Kuna matunda jamii ya pomelo WA...
Read More
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nanenane Kanda ya Mashariki ambapo pamoja na mambo mengine Mhe. Pinda ameweza  kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli zinazofanywa na Chuo hicho. Akiwa kwenye Banda la Idara ya shamba la...
Read More
Wakulima na wafugaji wa samaki wametakiwa kufika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ili kujipatia mbegu bora za vifaranga vya samaki kwa kuwa mbegu zinazotumika katika uzalishaji wa vifaranga hivyo ni za uhakika. Wito huo umetolewa Agosti 4, 2023 na Afisa Mafunzo wa Kitengo hicho Bi. Stella Genge wakati akizungumza katika Maonesho ya Wakulima,...
Read More
Chuo Kikuu cha Sokoine chaKilimo (SUA) kupitia Kitengo cha Ukuzaji wa Viumbe Maji kilichopo Idara ya Shamba la Mafunzo kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Nanenane kimekuja na Maabara inayotembea maalum kwa ajili ya utotoreshaji wa vifaranga vya samaki aina ya sato. Maabara inayotembea maalum kwa ajili ya utotoreshaji wa vifaranga vya samaki aina...
Read More
Students from St Mary’s pre and primary school visited model training farm exhibition pavilion at Morogoro nanenane grounds, among other things, they learnt a lot of stuffs pertaining Agriculture,  for example broccoli, cabbage and cauliflower production Also they saw different grafted and un grafted fruit seedlings
Read More
Wananchi wametakiwa kununua miche ya matunda mbalimbali kutoka kwenye vyanzo vya uhakika kikiwemo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ambacho kina vyanzo vizuri vya kupata malighafi za kuzalisha miche kutoka kwenye mashamba yanayotumika kwa ajili ya kupata vikonyo vya kuzalisha miche ya aina tofauti.   Meneja wa Shamba la Bustani katika Idara ya Shamba...
Read More
Cauliflower is one of several vegetables in the species Brassica oleracea in the genus Brassica, which is in the Brassicaceae family. It is an annual plant that reproduces by seed. Typically, only the head is eaten – the edible white flesh is sometimes called “curd”. Cauliflower is a cruciferous vegetable that is naturally high in...
Read More
Horticulture unit under the Department of Model Training farm, college of Agriculture at Sokoine University of Agriculture harvested broccoli, Broccoli from brassicaceae family spend three months from transplanting to harvest, its edible part are flowers. Broccoli is a cruciferous vegetable rich in antioxidants and other beneficial plant compounds. It may also offer several benefits, especially for...
Read More
1 2 3 4 5 6